1 Yohana 3:22
lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,
Cross References
Psalms 10:17Unasikia, Ee Bwana, shauku ya wanaoonewa, 2 wewe huwatia moyo, na kusikiliza kilio chao, 1
Psalms 34:15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, 2 na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 1
Psalms 66:18Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu, 2 Bwana asingekuwa amenisikiliza; 1
Proverbs 15:29Bwana yuko mbali na waovu, 2 bali husikia maombi ya wenye haki. 1
Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2
Jeremiah 29:12Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza.