The Bible Software
bible.software1 John1 John 4 › 1 John 4:18

1 John 4:18

Katika pendo hakuna hofu. Lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa sababu hofu inahusika na adhabu. Kila mwenye hofu hakukamilika katika pendo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is no fear in love; but perfect love casteth out fear: because fear hath torment. He that feareth is not made perfect in love.

In Context

17Kwa njia hii, pendo hukamilishwa miongoni mwetu ili tupate kuwa na ujasiri katika siku ya hukumu, kwa sababu kama alivyo ndivyo tulivyo sisi katika ulimwengu huu.

19Twampenda yeye kwa sababu yeye alitupenda kwanza.

Read all of 1 John 4

Cross References

Job 15:21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; 2 katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 1

Psalms 88:15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; 2 nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 1

Luke 1:74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, 2 tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 1

2 Timothy 1:7Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali roho ya nguvu, ya upendo na ya moyo wa kiasi.

James 2:19Unaamini kwamba kuna Mungu mmoja. Vyema! Hata mashetani yanaamini hivyo na kutetemeka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 John 4:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 John 4:171 John 41 John 4:19 →