1 Yohana 4:6
Sisi twatokana na Mungu na yeyote anayemjua Mungu hutusikiliza, lakini asiyetokana na Mungu hatusikilizi. Hivi ndivyo tunavyoweza kutambua Roho wa Kweli na roho ya upotovu. 1 Mungu Ni Pendo
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Wao wanatokana na ulimwengu na kwa hiyo hunena yaliyo ya ulimwengu, hivyo ulimwengu huwasikiliza.
Cross References
Isaiah 8:20Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.
Hosea 4:12wa watu wangu. 1 Hutaka shauri kutoka kwa sanamu ya mti 2 nao hujibiwa na fimbo ya mti. 1 Roho ya ukahaba imewapotosha, 2 hawana uaminifu kwa Mungu wao. 1
Micah 3:8Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, 2 nimejazwa Roho wa Bwana, 2 haki na uweza, 1 kumtangazia Yakobo kosa lake, 2 na Israeli dhambi yake. 1
John 8:19Ndipo wakamuuliza, “Huyo Baba yako yuko wapi?” Yesu akawajibu, “Ninyi hamnifahamu mimi ni nani, wala hammfahamu Baba yangu. Kama mngenifahamu mimi, mngemfahamu na Baba yangu.”
John 10:16Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili, inanipasa kuwaleta, nao wataisikia sauti yangu, hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja.
John 13:20Amin, amin nawaambia, yeyote anayempokea yule niliyemtuma anipokea mimi, naye anipokeaye mimi ampokea yeye aliyenituma mimi.” 1 Yesu Anatabiri Kusalitiwa Kwake (Mathayo 26:20-25; Marko 14:17-21; Luka 22:21-23)