bible.software › 1 Yohana › 1 Yohana 5 › 1 Yohana 5:15
1 Yohana 5:15
Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua ya kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if we know that he hear us, whatsoever we ask, we know that we have the petitions that we desired of him.
In Context
14Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba kama tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
16Kama mtu akimwona ndugu yake akitenda dhambi isiyo ya mauti, inampasa aombe, naye Mungu atampa uzima mtu huyo. Ninamaanisha wale ambao dhambi yao si ya mauti. Iko dhambi ya mauti, sisemi kwamba utaomba kwa ajili ya hiyo.
Read all of 1 Yohana 5
Cross References
Proverbs 15:29Bwana yuko mbali na waovu, 2 bali husikia maombi ya wenye haki. 1
Mark 11:24Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini ya kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu.
1 John 5:18Tunajua ya kuwa yeye aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, bali aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hawezi kumdhuru.
This Verse In Other Editions
Study 1 Yohana 5:15