1 Wafalme 17:21
Kisha akajinyoosha juu ya kijana mara tatu na kumlilia Bwana, akisema, “Ee Bwana Mungu wangu, nakuomba roho ya huyu kijana imrudie!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Bwana akasikia kilio cha Eliya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka.
Cross References
2 Kings 4:33Akaingia ndani, akajifungia yeye na yule mtoto, akamwomba Bwana.
Acts 9:40Petro akawatoa wote nje ya kile chumba, kisha akapiga magoti akaomba, akaugeukia ule mwili akasema, “Tabitha, inuka.” Akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.
Acts 20:10Paulo akashuka chini, akajitupa juu yake na kumkumbatia, akasema, “Msishtuke, uzima wake bado umo ndani yake.”