bible.software › 1 Kings › 1 Kings 2 › 1 Kings 2:21
1 Kings 2:21
Akasema, “Mruhusu Abishagi, Mshunami, aolewe na ndugu yako Adoniya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she said, Let Abishag the Shunammite be given to Adonijah thy brother to wife.
In Context
20Bathsheba akamwambia mfalme, “Ninalo ombi moja dogo la kukuomba; usinikatalie.” Mfalme akajibu, “Omba, mama yangu; sitakukatalia.”
22Mfalme Solomoni akamjibu mama yake, “Kwa nini uombe Abishagi, Mshunami, kwa ajili ya Adoniya? Ungeweza pia kuomba ufalme kwa ajili yake, kwani yeye ni ndugu yangu mkubwa: naam, kwa ajili yake, na kwa kuhani Abiathari na Yoabu mwana wa Seruya!”
Read all of 1 Kings 2
Cross References
2 Samuel 16:21Ahithofeli akamjibu, “Kutana kimwili na masuria wa baba yako aliowaacha kutunza jumba la kifalme. Ndipo Israeli yote itakaposikia kwamba umejifanya chukizo kwa baba yako, nayo mikono ya kila mmoja aliye pamoja nawe itatiwa nguvu.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Kings 2:21