1 Wafalme 5:13
Mfalme Solomoni akakusanya wafanyakazi 30,000 kutoka Israeli yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And king Solomon raised a levy out of all Israel; and the levy was thirty thousand men.
In Context
Cross References
1 Kings 4:6Ahishari: msimamizi wa jumba la kifalme; 1 Adoniramu mwana wa Abda: msimamizi wa kazi za kulazimisha.
2 Chronicles 8:8yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawakuwa wamewaangamiza: hawa Solomoni akawalazimisha kuwa watumwa katika shokoa, kama ilivyo hadi leo.