bible.software › 1 Wafalme › 1 Wafalme 7 › 1 Wafalme 7:39
1 Wafalme 7:39
Aliweka vitako vitano upande wa kusini wa Hekalu na vingine vitano upande wa kaskazini. Akaweka ile bahari upande wa kusini, katika pembe ya kusini ya Hekalu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he put five bases on the right side of the house, and five on the left side of the house: and he set the sea on the right side of the house eastward over against the south.
In Context
38Kisha akatengeneza masinia kumi ya shaba, kila moja likiwa na ujazo wa bathi arobaini, + 7:38 Bathi 40 ni sawa na lita 800. yakiwa na kipenyo cha dhiraa nne + 7:38 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8. kila sinia moja kwa kila kimoja ya vile vitako kumi.
40Pia akatengeneza masinia, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia. Kwa hiyo Huramu akakamilisha kazi zote katika Hekalu la Bwana kama vile Mfalme Solomoni alikuwa amemwagiza, yaani: 1
Read all of 1 Wafalme 7
Cross References
2 Chronicles 4:6Kisha akatengeneza masinia kumi kwa ajili ya kuoshea vifaa, naye akayaweka matano upande wa kusini na matano upande wa kaskazini. Ndani yake ndimo walioshea vifaa vya kutumika katika sadaka za kuteketezwa, lakini ile Bahari ilikuwa ni kwa ajili ya makuhani kunawia.
2 Chronicles 4:10Akaweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini mashariki ya nyumba.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wafalme 7:39