1 Petro 1:11
wakijaribu kujua ni wakati upi na katika mazingira gani ambayo Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao alionyesha, alipotabiri kuhusu mateso ya Kristo na utukufu ule ambao ungefuata.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
Psalms 69:1Ee Mungu, niokoe, 2 kwa maana maji yamenifika shingoni. 1
Psalms 88:1Ee Bwana, Mungu uniokoaye, 2 nimelia mbele zako usiku na mchana. 1
Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1
Isaiah 52:13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima; 2 atatukuzwa, na kuinuliwa juu, na kukwezwa sana. 1
Daniel 2:34Ulipokuwa unaangalia, jiwe lilikatwa, lakini si kwa mikono ya mwanadamu. Lile jiwe liliipiga ile sanamu kwenye nyayo zake za chuma na udongo wa mfinyanzi, na kuivunja.