1 Petro 1:25
lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 102:12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, 2 sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 1
Psalms 119:89Ee Bwana, neno lako ni la milele, 2 linasimama imara mbinguni. 1
Matthew 5:18Kwa maana, amin nawaambia, mpaka mbingu na dunia zitakapopita, hakuna hata herufi moja ndogo wala nukta itakayopotea kwa namna yoyote kutoka kwenye Sheria, mpaka kila kitu kiwe kimetimia.
John 1:1Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
1 Corinthians 1:21Kwa kuwa katika hekima ya Mungu, ulimwengu kwa hekima yake haukumjua yeye, ilimpendeza Mungu kuwaokoa wale walioamini kwa upuzi wa lile neno lililohubiriwa.
1 Corinthians 15:1Basi ndugu zangu nataka niwakumbushe kuhusu Injili niliyowahubiria, mkaipokea na ambayo katika hiyo mmesimama.