1 Petro 1:9
kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo la imani yenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Receiving the end of your faith, even the salvation of your souls.
In Context
Cross References
Hebrews 11:13Watu hawa wote walikufa wakiwa na imani. Walikufa kabla ya kupokea mambo ambayo Mungu alikuwa ameahidi, lakini kwa mbali waliyaona, wakashangilia, na kukiri wazi kwamba wao walikuwa wageni na wakimbizi duniani.