The Bible Software
bible.software1 Peter1 Peter 2 › 1 Peter 2:1

1 Peter 2:1

Kwa hiyo, wekeni mbali nanyi uovu wote na udanganyifu wote, unafiki, wivu na masingizio ya kila namna.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore laying aside all malice, and all guile, and hypocrisies, and envies, and all evil speakings,

In Context

2Kama watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu,

Read all of 1 Peter 2

Cross References

1 Samuel 18:8Sauli akakasirika sana; sehemu hii ya kurudia rudia ya wimbo huu ilimkasirisha sana. Akafikiri kuwa, “Wamempa Daudi makumi elfu, lakini mimi wamenipa elfu tu. Apate nini zaidi isipokuwa ufalme?”

Psalms 32:2Heri mtu yule ambaye Bwana 2 hamhesabii dhambi, 1 na ambaye rohoni mwake 2 hamna udanganyifu. 1

Psalms 37:1Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu, 2 wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 1

Proverbs 3:31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri 2 wala kuchagua njia yake iwayo yote, 1

Proverbs 24:1Usiwaonee wivu watu waovu, 2 usitamani ushirika nao; 1

Isaiah 2:20Siku ile, watu watawatupia 2 panya na popo 1 sanamu zao za fedha na za dhahabu, 2 walizozitengeneza ili waziabudu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Peter 2:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
1 Peter 21 Peter 2:2 →