1 Peter 2:12
Kuweni na mwenendo mzuri mbele ya watu wasiomjua Mungu, ili kama wanawasingizia kuwa watenda mabaya, wayaone matendo yenu mema nao wamtukuze Mungu siku atakapokuja kwetu. 1 Kuwatii Wenye Mamlaka
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 13:7Ukazuka ugomvi kati ya wachunga mifugo wa Abramu na wale wa Loti. Wakati huo, Wakanaani na Waperizi ndio waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo.
Psalms 37:14Waovu huchomoa upanga 2 na kupinda upinde, 1 ili wawaangushe maskini na wahitaji, 2 kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 1
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1
Matthew 5:16Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. 1 Kutimiza Sheria
Matthew 10:25Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa mkuu wa nyumba ameitwa Beelzebuli, + 10:25 Beelzebuli kwa Kiyunani ni Beelzebubu, yaani mkuu wa pepo wachafu. je, si watawaita zaidi wale wa nyumbani mwake! 1 Anayestahili Kuogopwa (Luka 12:2-9)
Luke 6:22Mmebarikiwa ninyi, watu watakapowachukia, 2 watakapowatenga na kuwatukana 1 na kulikataa jina lenu kama neno ovu, 2 kwa ajili ya Mwana wa Adamu.