1 Petro 2:25
Kwa maana mlikuwa mmepotea kama kondoo, lakini sasa mmerudi kwa Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For ye were as sheep going astray; but are now returned unto the Shepherd and Bishop of your souls.
In Context
Cross References
Psalms 23:1Bwana ndiye mchungaji wangu, 2 sitapungukiwa na kitu. 1
Psalms 119:176Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea. 2 Mtafute mtumishi wako, 2 kwa kuwa sijasahau amri zako.
Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1
Jeremiah 23:2Kwa hiyo hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, analowaambia wachungaji wanaowachunga watu wangu: “Kwa sababu mmelitawanya kundi langu na kuwafukuzia mbali, wala hamkuwatunza, basi mimi nitawaadhibu kwa ajili ya uovu mliofanya,” asema Bwana.
Ezekiel 34:11“ ‘Kwa kuwa hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitawaulizia kondoo wangu na kuwatafuta.
Ezekiel 37:24“ ‘Mtumishi wangu Daudi atakuwa mfalme juu yao, nao wote watakuwa na mchungaji mmoja. Watafuata sheria zangu na kuzishika amri zangu kwa uangalifu.