1 Peter 2:3
ikiwa kweli mmeonja ya kwamba Bwana ni mwema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If so be ye have tasted that the Lord is gracious.
In Context
Cross References
Psalms 24:8Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? 2 Ni Bwana aliye na nguvu na uweza, 2 ni Bwana aliye hodari katika vita. 1
Psalms 63:5Nafsi yangu itatoshelezwa 2 kama kwa wingi wa vyakula; 1 kwa midomo iimbayo 2 kinywa changu kitakusifu wewe. 1
Zechariah 9:17Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! 2 Nafaka itawastawisha vijana wanaume, 2 nayo divai mpya vijana wanawake.