1 Petro 3:1
Kadhalika enyi wake, watiini waume zenu, ili kama kunao wasioamini lile neno, wapate kuvutwa na mwenendo wa wake zao pasipo neno,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2kwa kuuona utakatifu na uchaji wa Mungu katika maisha yenu.
Cross References
Genesis 3:16Kwa mwanamke akasema, 1 “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako; 2 kwa utungu utazaa watoto. 1 Tamaa yako itakuwa kwa mumeo 2 naye atakutawala.”
Proverbs 11:30Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima, 2 naye mwenye hekima huvuta roho za watu. 1
Matthew 18:15“Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwonyeshe kosa lake, kati yenu ninyi wawili peke yenu. Kama akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.
Romans 7:2Kwa mfano, mwanamke aliyeolewa amefungwa kwa mumewe wakati akiwa hai, lakini yule mume akifa, yule mwanamke amefunguliwa kutoka sheria ya ndoa.
1 Corinthians 7:16Wewe mke, unajuaje kama utamwokoa mumeo? Au wewe mume unajuaje kama utamwokoa mkeo? 1 Kuishi Kama Alivyoagiza Bwana
1 Corinthians 11:3Napenda mfahamu kwamba kichwa cha kila mwanaume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanaume, nacho kichwa cha Kristo ni Mungu.