1 Petro 3:19
Baada ya kufanywa hai, alikwenda na kuzihubiria roho zilizokuwa kifungoni:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By which also he went and preached unto the spirits in prison;
In Context
Cross References
Isaiah 42:7kuwafungua macho wale wasioona, 2 kuwaacha huru kutoka kifungoni waliofungwa jela, 1 na kuwafungua kutoka gerezani 2 wale wanaokaa gizani. 1
Isaiah 61:1Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1
1 Peter 4:6Kwa kuwa hii ndiyo sababu Injili ilihubiriwa hata kwa wale waliokufa, ili wahukumiwe sawasawa na wanadamu wengine katika mwili, lakini katika roho waishi kulingana na Mungu aishivyo.
Revelation 20:7Hiyo miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka kifungoni mwake,