1 Petro 4:1
Kwa hiyo, kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni nia iyo hiyo kwa maana mtu aliyekwisha kuteswa katika mwili ameachana na dhambi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 1:16jiosheni na mkajitakase. 1 Yaondoeni matendo yenu maovu 2 mbele zangu! 1 Acheni kutenda mabaya, 2
Mark 3:3Yesu akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.”
Romans 6:7Kwa maana mtu yeyote aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.
Romans 13:12Usiku umeendelea sana, mapambazuko yamekaribia. Kwa hiyo tuyaweke kando matendo ya giza na tuvae silaha za nuru.
Galatians 5:24Wote walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili na shauku zake pamoja na tamaa zake.
Philippians 2:5Kuweni na nia ile ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu: 1