The Bible Software
bible.software › 1 Petro › 1 Petro 4 › 1 Petro 4:11

1 Petro 4:11

Yeyote asemaye hana budi kusema kama mtu asemaye maneno ya Mungu mwenyewe. Yeyote ahudumuye hana budi kuhudumu kwa nguvu zile anazopewa na Mungu, ili Mungu apate kutukuzwa katika mambo yote kwa njia ya Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye milele na milele. Amen. 1 Kuteseka Kwa Kuwa Mkristo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If any man speak, let him speak as the oracles of God; if any man minister, let him do it as of the ability which God giveth: that God in all things may be glorified through Jesus Christ, to whom be praise and dominion for ever and ever. Amen.

In Context

10Kila mmoja na atumie kipawa chochote alichopewa kuwahudumia wengine, kama mawakili waaminifu wa neema mbalimbali za Mungu.

12Wapenzi, msione ajabu kwa yale mateso yanayotukia miongoni mwenu, kana kwamba ni kitu kigeni kinachowapata.

Read all of 1 Petro 4

Cross References

Psalms 145:13Ufalme wako ni ufalme wa milele, 2 mamlaka yako hudumu vizazi vyote. 1 Bwana ni mwaminifu kwa ahadi zake zote 2 na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 1

Jeremiah 23:22Lakini kama wangesimama barazani mwangu, 2 wangetangaza maneno yangu kwa watu wangu, 1 nao wangewageuza kutoka njia zao mbaya 2 na kutoka matendo yao maovu.” 1

Daniel 4:34Mwisho wa huo wakati, mimi Nebukadneza, niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. 1 Utawala wake ni utawala wa milele; 2 ufalme wake hudumu kutoka kizazi na kizazi. 1

Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’

Romans 3:2Kuna faida kubwa kwa kila namna! Kwanza kabisa, Wayahudi wamekabidhiwa lile Neno halisi la Mungu.

Romans 12:6Tuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Petro 4:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Petro 4:101 Petro 41 Petro 4:12 →