1 Petro 4:9
Muwe na ukarimu ninyi kwa ninyi bila kunung'unika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Use hospitality one to another without grudging.
In Context
8Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi.
Cross References
Romans 12:13Wasaidieni watu wa Mungu katika mahitaji yao; wapokeeni wageni kwa ukarimu.
2 Corinthians 9:7Kila mmoja, basi, na atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na wala si kwa huzuni au kwa kulazimishwa, maana Mungu humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.
1 Timothy 3:2Basi, kiongozi wa kanisa anapaswa awe mtu asiye na lawama; anapaswa awe na mke mmoja tu, awe mwenye kiasi, nidhamu na utaratibu; ni lazima awe mkarimu na anayeweza kufundisha;
Philemon 1:14Lakini sitafanya chochote bila kibali chako. Sipendi kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako unapaswa kutokana na hiari yako wewe mwenyewe na si kwa kulazimika.
Hebrews 13:16Msisahau kutenda mema na kusaidiana, maana hizi ndizo dhabihu zinazompendeza Mungu.