bible.software › 1 Petro › 1 Petro 5 › 1 Petro 5:11
1 Petro 5:11
Uweza una yeye milele na milele. Amen. 1 Salamu Za Mwisho
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To him be glory and dominion for ever and ever. Amen.
In Context
10Nanyi mkiisha kuteswa kwa kitambo kidogo, Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele ndani ya Kristo, yeye mwenyewe atawarejesha na kuwatia nguvu, akiwaimarisha na kuwathibitisha.
12Kwa msaada wa Silvano, + 5:12 Yaani Sila. ambaye ninamhesabu kuwa ndugu mwaminifu, nimewaandikia waraka huu mfupi ili kuwatia moyo, na kushuhudia kwamba hii ni neema halisi ya Mungu. Simameni imara katika neema hiyo.
Read all of 1 Petro 5
Cross References
Romans 11:36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake. 2 Utukufu ni wake milele! Amen.
Revelation 1:6akatufanya sisi kuwa ufalme na makuhani, tumtumikie Mungu wake ambaye ni Baba yake. Utukufu na uwezo ni vyake milele na milele! Amen. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Petro 5:11