1 Samweli 1:2
Alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na mwingine Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na mtoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 4:19Lameki alioa wanawake wawili, mmoja aliitwa Ada, na mwingine Sila.
Genesis 11:30Sarai alikuwa tasa, hakuwa na watoto.
Genesis 25:21Isaki akamwomba Bwana kwa ajili ya mke wake, kwa sababu alikuwa tasa. Bwana akajibu maombi yake na Rebeka mkewe akapata mimba.
Genesis 29:31Bwana alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Judges 8:30Alikuwa na wana sabini wa kwake mwenyewe, kwa kuwa alikuwa na wake wengi.
Matthew 19:8Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.