bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 10 › 1 Samweli 10:4
1 Samweli 10:4
Watakusalimu na kukupa mikate miwili, ambayo utaipokea kutoka kwao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they will salute thee, and give thee two loaves of bread; which thou shalt receive of their hands.
In Context
3“Kisha utakwenda mbele kutoka hapa mpaka uufikie mwaloni wa Tabori. Watu watatu wanaopanda kwa Mungu huko Betheli watakutana nawe hapo. Mmoja atakuwa amechukua wana-mbuzi watatu, mwingine mikate mitatu, na mwingine kiriba cha divai.
5“Baada ya hayo utakwenda Gibea ya Mungu, ambapo hapo kuna kambi ya Wafilisti. Unapokaribia mji utakutana na kundi la manabii wakiteremka kutoka mahali pa juu wakiwa na vinubi, matari, filimbi na zeze vikipigwa mbele yao, nao watakuwa wakitoa unabii.
Read all of 1 Samweli 10
Cross References
Judges 18:15Basi wakaingia humo na kwenda kwenye nyumba ya yule kijana Mlawi katika nyumba ya Mika na kumsalimu.
This Verse In Other Editions
Study 1 Samweli 10:4