bible.software › 1 Samuel › 1 Samuel 15 › 1 Samuel 15:21
1 Samuel 15:21
Askari walichukua kondoo na ngʼombe kutoka kwenye nyara, zile ambazo ni nzuri sana zimewekwa wakfu kwa Mungu, ili zitolewe dhabihu kwa Bwana Mungu wako huko Gilgali.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the people took of the spoil, sheep and oxen, the chief of the things which should have been utterly destroyed, to sacrifice unto the LORD thy God in Gilgal.
In Context
20Sauli akasema, “Lakini nilimtii Bwana. Nilikamilisha ile kazi ambayo Bwana alinituma. Niliwaangamiza Waamaleki kabisa na kumleta Agagi mfalme wao.
22Lakini Samweli akajibu: 1 “Je, Bwana anafurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu 2 kama vile kuitii sauti ya Bwana? 1 Kutii ni bora zaidi kuliko dhabihu, 2 nako kusikia ni bora 2 kuliko mafuta ya kondoo dume. 1
Read all of 1 Samuel 15
Cross References
Genesis 3:13Ndipo Bwana Mungu akamuuliza mwanamke, “Ni nini hili ambalo umelifanya?” Mwanamke akajibu, “Nyoka alinidanganya, nami nikala.”
1 Samuel 15:15Sauli akajibu, “Askari wamewaleta kutoka kwa Waamaleki, waliwaacha wale kondoo na ngʼombe wazuri ili kuwatoa dhabihu kwa Bwana, Mungu wako, lakini tuliwaangamiza kabisa wengine wote.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Samuel 15:21