The Bible Software
bible.software1 Samuel1 Samuel 19 › 1 Samuel 19:21

1 Samuel 19:21

Sauli akaelezwa juu ya hilo, naye akapeleka watu wengine zaidi, nao wakatoa unabii pia. Sauli akatuma watu mara ya tatu, nao pia wakatoa unabii.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when it was told Saul, he sent other messengers, and they prophesied likewise. And Saul sent messengers again the third time, and they prophesied also.

In Context

20Basi Sauli akatuma watu kumkamata Daudi, lakini walipoona kundi la manabii wakitoa unabii, wakiwa pamoja na Samweli akiwa amesimama hapo kama kiongozi wao, Roho wa Mungu akaja juu ya watu wa Sauli, nao pia wakatoa unabii.

22Mwishowe, yeye mwenyewe akaondoka kwenda Rama na kwenda hadi kwenye kile kisima kikubwa kilichoko huko Seku. Naye akauliza, “Wako wapi Samweli na Daudi?” Wakasema, “Wako Nayothi huko Rama.”

Read all of 1 Samuel 19

Cross References

Proverbs 27:22Hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu, 2 ukimtwanga kama nafaka kwa mchi, 2 hutauondoa upumbavu wake. 1

Joel 2:28“Hata itakuwa, baada ya hayo, 2 nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 wazee wenu wataota ndoto, 2 na vijana wenu wataona maono. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samuel 19:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samuel 19:201 Samuel 191 Samuel 19:22 →