The Bible Software
bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 2 › 1 Samweli 2:17

1 Samweli 2:17

Hii Dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa Bwana, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya Bwana kwa dharau.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore the sin of the young men was very great before the LORD: for men abhorred the offering of the LORD.

In Context

16Kama mtu akimwambia, “Mafuta ya mnyama na yachomwe kwanza, ndipo uchukue chochote unachotaka,” mtumishi angalijibu, “Hapana, nipe sasa, kama huwezi nitaichukua kwa nguvu.”

18Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani.

Read all of 1 Samweli 2

Cross References

Genesis 6:11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.

Genesis 13:13Basi watu wa Sodoma walikuwa waovu, wakifanya sana dhambi dhidi ya Bwana.

Psalms 51:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi 2 na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, 1 ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, 2 na kuwa na haki utoapo hukumu. 1

Malachi 2:7“Kwa maana yapasa midomo ya kuhani kuhifadhi maarifa. Tena kutoka kinywani mwake watu wangepaswa kutafuta mafundisho, kwa sababu yeye ni mjumbe wa Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Matthew 18:7“Ole kwa ulimwengu kwa sababu ya yale mambo yanayosababisha watu kutenda dhambi! Mambo hayo lazima yawepo, lakini ole wake mtu yule ambaye huyasababisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Samweli 2:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Samweli 2:161 Samweli 21 Samweli 2:18 →