bible.software › 1 Samuel › 1 Samuel 21 › 1 Samuel 21:14
1 Samuel 21:14
Akishi akawaambia watumishi wake, “Tazameni mtu huyu! Ana wazimu! Kwa nini mnamleta kwangu?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Achish unto his servants, Lo, ye see the man is mad: wherefore then have ye brought him to me?
In Context
13Basi akajifanya mwendawazimu mbele yao; naye alipokuwa mikononi mwao, alitenda kama kichaa, akikwaruza kwa kutia alama juu ya milango ya lango na kuachia udelele kutiririka kwenye ndevu zake.
15Je, mimi nimepungukiwa na wenda wazimu kiasi kwamba mmeniletea mtu huyo hapa aendelee kufanya hivi mbele yangu? Je, ilikuwa ni lazima mtu huyo aje nyumbani kwangu?”
Read all of 1 Samuel 21
Cross References
Ecclesiastes 7:7Dhuluma humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu, 2 nayo rushwa huuharibu moyo. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Samuel 21:14