1 Samuel 22:13
Sauli akamwambia, “Kwa nini umepanga shauri baya dhidi yangu, wewe na mwana wa Yese, ukampa vyakula na upanga, tena hukumuuliza Mungu kwa ajili yake, na kwa sababu hiyo ameasi dhidi yangu na kunivizia, kama afanyavyo leo?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.”
Cross References
Psalms 119:69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, 2 nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. 1
Luke 23:2Nao wakaanza kumshtaki wakisema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Kristo, + 23:2 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. mfalme.”