1 Samuel 22:21
Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abiathar shewed David that Saul had slain the LORD’S priests.
In Context
20Lakini Abiathari, mwana wa Ahimeleki, mwana wa Ahitubu, akatoroka, akakimbia na kujiunga na Daudi.
Cross References
1 Samuel 2:33Kila mmoja wenu ambaye sitamkatilia mbali kutoka madhabahuni pangu atabakizwa tu kupofusha macho yenu kwa machozi na kuihuzunisha mioyo yenu, nao wazao wenu wote watakufa watakapokuwa wamefikia umri wa kustawi.