1 Samweli 24:2
Basi Sauli akachukua watu hodari 3,000 kutoka Israeli yote kwenda kumsaka Daudi na watu wake karibu na Majabali ya Mbuzi-Mwitu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Baada ya Sauli kurudi kuwafuatia Wafilisti, akaambiwa kwamba, “Daudi yuko katika Jangwa la En-Gedi.”
Cross References
1 Samuel 23:28Ndipo Sauli akarudi akaacha kumfuata Daudi na kwenda kukabiliana na Wafilisti. Ndiyo sababu wanaiita sehemu hii Sela-Hamalekothi. + 23:28 Sela-Hamalekothi maana yake Mwamba wa Kutengana.
Psalms 37:32Watu waovu huvizia wenye haki, 2 wakitafuta kuwaua; 1
Psalms 104:18Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu, 2 majabali ni kimbilio la pelele. 1