bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 3 › 1 Samweli 3:5
1 Samweli 3:5
Naye akakimbia kwa Eli na kumwambia, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Lakini Eli akasema, “Sikukuita; rudi ukalale.” Hivyo akaenda kulala.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he ran unto Eli, and said, Here am I; for thou calledst me. And he said, I called not; lie down again. And he went and lay down.
In Context
4Kisha Bwana akamwita Samweli. Samweli akajibu, “Mimi hapa.”
6Bwana akaita tena, “Samweli!” Naye Samweli akaamka, kwenda kwa Eli na kusema, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Eli akasema, “Mwanangu, sikukuita, rudi ukalale.”
Read all of 1 Samweli 3
This Verse In Other Editions
Study 1 Samweli 3:5