1 Samweli 4:10
Basi Wafilisti wakapigana, nao Waisraeli wakashindwa na kila mtu akakimbilia hemani mwake. Mauaji yalikuwa makubwa sana, Israeli wakapoteza askari 30,000 waendao kwa miguu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Sanduku la Mungu likatekwa, na hao wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, wakauawa. 1 Kifo Cha Eli
Cross References
Leviticus 26:17Nitauelekeza uso wangu dhidi yenu ili mshindwe na adui zenu; wale wanaowachukia watawatawala, nanyi mtakimbia ingawa hakuna mtu anayewafukuza.
1 Samuel 3:11Naye Bwana akamwambia Samweli: “Tazama, nipo karibu kufanya kitu katika Israeli ambacho kitafanya masikio ya kila mmoja atakayesikia yawashe.
2 Samuel 18:7Huko jeshi la Israeli likashindwa na watu wa Daudi, siku hiyo majeruhi walikuwa wengi kiasi cha watu ishirini elfu.
2 Samuel 19:8Kwa hiyo mfalme akaondoka akaketi kitini pake penye lango. Watu walipoambiwa, “Mfalme ameketi langoni,” watu wote wakamjia. 1 Daudi Arudi Yerusalemu Wakati huo, Waisraeli walikuwa wamekimbilia nyumbani kwao.
1 Kings 12:16Israeli wote walipoona kuwa mfalme amekataa kuwasikiliza, wakamjibu mfalme: 1 “Tuna fungu gani kwa Daudi? 2 Sisi hatuna urithi kwa mwana wa Yese. 1 Nendeni kwenye mahema yenu, ee Israeli! 2 Angalia nyumba yako mwenyewe, ee Daudi!” Hivyo Waisraeli wakaenda kwenye mahema yao.
2 Kings 14:12Yuda ikashindwa na Israeli, na kila mtu akakimbilia nyumbani kwake.