1 Samuel 4:13
Alipofika, Eli alikuwa ameketi juu ya kiti chake kando ya barabara akiangalia, kwa sababu moyo wake ulikuwa na hofu kwa ajili ya Sanduku la Mungu. Mtu yule alipoingia mjini na kueleza kilichokuwa kimetokea, mji wote ukalia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 7:9Wakanaani na watu wengine wa nchi watasikia habari hii, nao watatuzunguka na kutufutilia jina letu duniani. Utafanya nini basi kwa ajili ya jina lako mwenyewe lililo kuu?”
1 Samuel 4:18Mara alipotaja Sanduku la Mungu, Eli alianguka kutoka kwenye kiti chake kwa nyuma kando ya lango. Shingo yake ikavunjika naye akafa, kwa kuwa alikuwa mzee tena mzito. Alikuwa amewaongoza Israeli kwa miaka arobaini.
Psalms 26:8Ee Bwana, naipenda nyumba yako mahali unakoishi, 2 mahali ambapo utukufu wako hukaa. 1
Psalms 137:4Tutaimbaje nyimbo za Bwana, 2 tukiwa nchi ya kigeni? 1