bible.software › 1 Samweli › 1 Samweli 4 › 1 Samweli 4:16
1 Samweli 4:16
Akamwambia Eli, “Mimi nimetoka vitani sasa hivi, nimekimbia kutoka huko leo hii.” Eli akamuuliza, “Je, mwanangu, ni nini kimetokea huko?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the man said unto Eli, I am he that came out of the army, and I fled to day out of the army. And he said, What is there done, my son?
In Context
15wakati huu Eli alikuwa na miaka tisini na minane nayo macho yake yalikuwa yamepofuka na hakuweza kuona.
17Yule mtu aliyeleta habari akajibu, “Israeli amekimbia mbele ya Wafilisti, nalo jeshi limepata hasara kubwa. Pia wana wako wawili, Hofni na Finehasi, wamekufa, na Sanduku la Mungu limetekwa.”
Read all of 1 Samweli 4
Cross References
1 Samuel 3:6Bwana akaita tena, “Samweli!” Naye Samweli akaamka, kwenda kwa Eli na kusema, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Eli akasema, “Mwanangu, sikukuita, rudi ukalale.”
This Verse In Other Editions
Study 1 Samweli 4:16