1 Samweli 4:5
Wakati Sanduku la Agano la Bwana lilikuja kambini, Waisraeli wote wakapiga kelele kwa sauti kuu hata ardhi ikatikisika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 6:20Wakati baragumu zilipopigwa, watu walipiga kelele, na katika sauti ya baragumu, na watu kupaza sauti, ukuta ukaanguka; hivyo kila mtu akapanda akiendelea mbele na kuuteka mji.
1 Kings 1:40Na watu wote wakakwea wakimfuata, wakipiga filimbi na kushangilia sana, hata ardhi ikatikisika kwa ile sauti.
Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”
Micah 2:11Ikiwa mwongo na mdanganyifu atakuja na kusema, 2 ‘Nitawatabiria divai na pombe kwa wingi,’ 1 angekuwa ndiye nabii 2 anayekubalika na watu hawa! 1 Ahadi Ya Ukombozi 1