1 Samuel 9:21
Sauli akajibu, “Je, mimi si Mbenyamini, kutoka kabila dogo kuliko yote ya Israeli, nao ukoo wangu si ndio mdogo kuliko koo zote za kabila la Benyamini? Kwa nini uniambie jambo la namna hiyo?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 6:14Bwana akamgeukia na kusema “Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli kutoka mikononi mwa Wamidiani. Je, si mimi ninayekutuma wewe?”
Judges 20:46Siku ile wakawaua Wabenyamini 25,000 waliokuwa mashujaa wa vita.
1 Samuel 15:17Samweli akamwambia, “Ingawa zamani ulijiona mdogo machoni pako mwenyewe, Je, hukuwa kiongozi wa kabila za Israeli? Bwana alikutia mafuta kuwa mfalme juu ya Israeli.
1 Samuel 18:23Watumishi wa Sauli wakarudia hayo maneno kwa Daudi. Lakini Daudi akasema, “Je, mnafikiri ni jambo dogo kuwa mkwewe mfalme? Mimi ni mtu maskini tu, na nisiyejulikana sana.”
Psalms 68:28Ee Mungu, amuru uwezo wako, 2 Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako, 2 kama ulivyofanya hapo awali. 1
Luke 14:11Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”