bible.software › 1 Wathesalonike › 1 Wathesalonike 2 › 1 Wathesalonike 2:20
1 Wathesalonike 2:20
Naam, ninyi ni utukufu wetu na furaha yetu!
Biblia Takatifu
In The King James Version
For ye are our glory and joy.
In Context
19Je, tutakaposimama mbele ya Bwana Yesu wakati atakapokuja, fahari ya ushindi wetu itakuwa nini? Itakuwa ni ninyi wenyewe; ninyi ndio tumaini letu na furaha yetu.
Read all of 1 Wathesalonike 2
Cross References
1 Corinthians 11:7Haifai mwanamume kufunika kichwa chake, kwa kuwa yeye ni mfano wa Mungu na kioo cha utukufu wake Mungu; lakini mwanamke ni kioo cha utukufu wa mwanamume.
This Verse In Other Editions
Study 1 Wathesalonike 2:20