1 Wathesalonike 4:18
Basi, farijianeni kwa maneno haya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore comfort one another with these words.
In Context
Cross References
1 Thessalonians 5:11Kwa hiyo farijianeni na kusaidiana ninyi kwa ninyi kama mnavyofanya sasa.
Hebrews 10:24Tujitahidi kushughulikiana kwa ajili ya kuongezeana bidii ya kupendana na kutenda mema.