1 Wathesalonike 4:7
Mungu hakutuita tuishi maisha ya zinaa, bali tuishi katika utakatifu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For God hath not called us unto uncleanness, but unto holiness.
In Context
Cross References
Romans 8:29Maana hao aliowachagua tangu mwanzo, ndio aliowateua wapate kufanana na Mwanae, ili Mwana awe wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.
Galatians 5:19Basi, matendo ya kidunia yanajulikana: uzinzi, uasherati, ufisadi;
Ephesians 2:10Sisi ni viumbe vyake Mungu, na kwa kuungana na Kristo Yesu, alituumba kwa ajili ya kuishi maisha ya matendo mema aliyotutayarishia tuyatende.
Ephesians 4:19Wamepotoka na hawana aibu, wamejitosa katika ufisadi; hufanya kwa pupa kila aina ya mambo ya aibu.
2 Thessalonians 2:13Tunapaswa kumshukuru Mungu daima kwa ajili yenu ninyi ndugu, ninyi mnaopendwa na Bwana, kwa maana Mungu amewateua tangu mwanzo mpate kuokolewa kwa nguvu ya Roho mfanywe watu wake watakatifu kwa imani yenu katika ukweli.