1 Timotheo 1:15
Usemi huu ni wa kuaminika, na tena unafaa kukubaliwa kabisa: Kristo Yesu alikuja ulimwenguni kuwaokoa wenye dhambi. Nami ni mkosefu zaidi kuliko hao wote,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 9:13Basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: Nataka huruma, wala si dhabihu. Sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi.”
Matthew 18:11Maana Mwana wa Mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea.
Mark 2:17Yesu alipowasikia, akawaambia, “Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa. Sikuja kuwaita watu wema, ila wenye dhambi.”
Luke 19:10Kwa maana Mwana wa Mtu amekuja kutafuta na kuokoa waliopotea.”