1 Timotheo 1:19
na ushike imani yako na dhamiri njema. Watu wengine hawakusikiliza dhamiri zao na hivyo wakaiharibu imani yao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 6:27Ni nani miongoni mwenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuuongeza muda wa maisha yake?
Galatians 1:6Nashangaa kwamba muda mfupi tu umepita, nanyi mnamwasi yule aliyewaita kwa neema ya Kristo, mkafuata Habari Njema ya namna nyingine.
1 Timothy 3:9wanapaswa kuzingatia kwa dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.
1 Timothy 6:9Lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.
2 Timothy 3:1Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu.