The Bible Software
bible.software › 1 Timotheo › 1 Timotheo 1 › 1 Timotheo 1:4

1 Timotheo 1:4

wala wasitoe muda wao kwa hadithi za kubuniwa na orodha za majina ya vizazi visivyo na mwisho, ambazo huchochea mabishano badala ya mpango wa Mungu utokanao na imani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Neither give heed to fables and endless genealogies, which minister questions, rather than godly edifying which is in faith: so do.

In Context

3Kama nilivyokusihi wakati nilipokwenda Makedonia, endelea kubaki Efeso, ili kwamba upate kuwaagiza watu wasiendelee kufundisha mafundisho ya uongo

5Kusudi la maagizo haya ni upendo utokao katika moyo safi, dhamiri njema na imani ya kweli.

Read all of 1 Timotheo 1

Cross References

2 Corinthians 7:9lakini sasa nina furaha, si kwa sababu mlihuzunika, bali kwa kuwa huzuni hiyo iliwafanya mtubu. Kwa maana mlihuzunishwa kama Mungu alivyokusudia watu wahuzunike na hivyo sisi hatukuwadhuru kwa njia yoyote.

1 Timothy 3:16Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: 1 Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, 2 akathibitishwa kuwa na haki katika Roho, 1 akaonekana na malaika, 2 akahubiriwa miongoni mwa mataifa, 1 akaaminiwa ulimwenguni, 2 akachukuliwa juu katika utukufu.

1 Timothy 6:3Ikiwa mtu yeyote atafundisha mafundisho mapotovu wala hakubaliani na mafundisho manyofu ya Bwana wetu Yesu Kristo na yale ya utauwa,

1 Timothy 6:20Timotheo, linda kile kilichowekwa amana kwako. Epuka majadiliano yasiyo ya utauwa na mabishano ambayo kwa uongo huitwa elimu,

2 Timothy 2:16Jiepushe na maneno mabaya, yasiyo na maana, yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kukosa heshima kwa Mungu.

2 Timothy 4:4Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 1 Timotheo 1:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Timotheo 1:31 Timotheo 11 Timotheo 1:5 →