1 Timotheo 1:5
Shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
6Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.
Cross References
Matthew 12:35Mtu mwema hutoa mambo mema katika hazina yake njema; na mtu mbaya hutoa mambo mabaya katika hazina yake mbaya.
Acts 15:9Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.
Acts 24:16Kwa hiyo ninajitahidi daima kuwa na dhamiri njema mbele ya Mungu na mbele ya watu.
Romans 10:4Maana kwa kuja kwake Kristo, Sheria imefikia kikomo chake, ili kila mtu anayeamini akubaliwe kuwa mwadilifu.