1 Timotheo 1:6
Watu wengine wamepotoka kutoka haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
From which some having swerved have turned aside unto vain jangling;
In Context
5Kusudi la maagizo haya ni upendo utokao katika moyo safi, dhamiri njema na imani ya kweli.
Cross References
1 Timothy 5:15Kwa maana kwa kweli wajane wengine wamepotoka ili kumfuata Shetani.
1 Timothy 6:20Timotheo, linda kile kilichowekwa amana kwako. Epuka majadiliano yasiyo ya utauwa na mabishano ambayo kwa uongo huitwa elimu,
2 Timothy 2:23Jiepushe na mabishano ya kipumbavu na yasiyo na maana, kwa kuwa wajua ya kwamba hayo huzaa magomvi.
Titus 1:10Kwa maana wako wengi wasiotii, wenye maneno yasiyo na maana, hasa wale wa kikundi cha tohara.