1 Timotheo 2:11
Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let the woman learn in silence with all subjection.
In Context
10bali kwa matendo mazuri kama iwapasavyo wanawake wanaokiri kuwa wanamcha Mungu.
Cross References
Esther 1:20Kisha mbiu hii ya mfalme itakapotangazwa katika himaya yake iliyo kubwa sana, wanawake wote watawaheshimu waume zao, kuanzia mdogo hadi mkubwa.”
1 Corinthians 14:34wanawake wanapaswa kuwa kimya kanisani. Hawaruhusiwi kusema, bali wanyenyekee kama sheria isemavyo.
Colossians 3:18Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana.
1 Peter 3:1Kadhalika enyi wake, watiini waume zenu, ili kama kunao wasioamini lile neno, wapate kuvutwa na mwenendo wa wake zao pasipo neno,