1 Timotheo 3:1
Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is a true saying, If a man desire the office of a bishop, he desireth a good work.
In Context
Cross References
Luke 15:10Vivyo hivyo, nawaambia, kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu juu ya mwenye dhambi mmoja atubuye.” 1 Mfano Wa Mwana Mpotevu
Acts 20:28Jilindeni nafsi zenu na mlilinde lile kundi lote ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi wake. Lichungeni kanisa lake Mungu alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
Ephesians 4:12kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu kwa ajili ya kazi za huduma, ili kwamba mwili wa Kristo upate kujengwa
1 Thessalonians 5:14Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote.
1 Timothy 3:2Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha,
2 Timothy 2:11Hili ni neno la kuaminiwa: 1 Kwa maana kama tumekufa pamoja naye, 2 tutaishi pia pamoja naye. 1