1 Timotheo 3:12
Msaidizi katika kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza vema watoto wake na nyumba yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Let the deacons be the husbands of one wife, ruling their children and their own houses well.
In Context
Cross References
1 Timothy 3:4anapaswa awe mtu awezaye kuongoza vema nyumba yake, na kuwafanya watoto wake wawe watii kwa heshima yote.