1 Timotheo 3:16
Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: 1 Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, 2 akathibitishwa kuwa na haki katika Roho, 1 akaonekana na malaika, 2 akahubiriwa miongoni mwa mataifa, 1 akaaminiwa ulimwenguni, 2 akachukuliwa juu katika utukufu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 7:14Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara: Bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, na ataitwa Imanueli. + 7:14 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi.
Isaiah 50:5Bwana Mwenyezi amezibua masikio yangu, 2 nami sikuwa mwasi, 2 wala sikurudi nyuma. 1
Micah 5:2“Lakini wewe, Bethlehemu Efrathi, 2 ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda, 1 kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu 2 yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, 1 ambaye asili yake ni kutoka zamani, 2 kutoka milele.” 1
Matthew 3:16Naye Yesu alipokwisha kubatizwa, mara alipotoka ndani ya maji, ghafula mbingu zikafunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua na kutulia juu yake.
Matthew 13:11Akawajibu, “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.
Mark 1:13naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia. 1 Yesu Aanza Kuhubiri