1 Timotheo 3:8
Vivyo hivyo, mashemasi nao wawe watu wanaostahili heshima, wasiwe wenye kauli mbili au wenye kujifurahisha kwa mvinyo, wala wanaotamani faida isiyo halali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Inawapasa kushikamana sana na ile siri ya imani kwa dhamiri safi.
Cross References
Psalms 5:9Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, 2 mioyo yao imejaa maangamizi. 1 Koo lao ni kaburi lililo wazi, 2 kwa ndimi zao, wao hunena udanganyifu. 1
Psalms 50:19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya 2 na kuuongoza ulimi wako kwa hila. 1
Ezekiel 44:21Kuhani yeyote asinywe mvinyo aingiapo katika ukumbi wa ndani.
Romans 3:13“Makoo yao ni makaburi wazi; 2 kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” 1 “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” 2
1 Timothy 3:3asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.
1 Timothy 5:23Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.