1 Timotheo 4:7
Usijishughulishe kamwe na hadithi za kipagani na masimulizi ya uongo ya wanawake wazee; badala yake, jizoeze kuwa mtauwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But refuse profane and old wives’ fables, and exercise thyself rather unto godliness.
In Context
Cross References
1 Timothy 1:4wala wasitoe muda wao kwa hadithi za kubuniwa na orodha za majina ya vizazi visivyo na mwisho, ambazo huchochea mabishano badala ya mpango wa Mungu utokanao na imani.
1 Timothy 3:16Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: 1 Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, 2 akathibitishwa kuwa na haki katika Roho, 1 akaonekana na malaika, 2 akahubiriwa miongoni mwa mataifa, 1 akaaminiwa ulimwenguni, 2 akachukuliwa juu katika utukufu.
1 Timothy 6:20Timotheo, linda kile kilichowekwa amana kwako. Epuka majadiliano yasiyo ya utauwa na mabishano ambayo kwa uongo huitwa elimu,
2 Timothy 2:23Jiepushe na mabishano ya kipumbavu na yasiyo na maana, kwa kuwa wajua ya kwamba hayo huzaa magomvi.
2 Timothy 4:4Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo.
Titus 2:12Nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa,